BUMBULI COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (BUCOHAS)

Chuo cha cha sayansi shirikishi cha Bumbuli, kinapenda kuwatangazia nafasi za masomo kwa wahitimu wote wa Kidato cha Nne (4) na cha Sita (6). Pia Chuo kinatoa nafasi kwa wanafunzi wanaotaka kujiendeleza na masomo yaani “Upgrading”. Dirisha la udahili lipo wazi mpaka ifikapo tarehe 30/09/2021 .

Chuo kina mazingira tulivu na mazuri ya kusomea, Maktaba nzuri, Maabara ya kisasa na chuo chetu kina walimu wazuri waliobobea na kukubalka na NACTE.

Chuo kinapatika Mkoa wa Tanga, Wilaya ya Lushoto, Halmashauri ya Bumbuli.


Chuo kinatoa kozi zifuatazo:

  • Stashaada ya Utabibu kwa wanafunzi wanaoanza ( Diploma in clinical medicine (Direct Entry)): Mwanafunzi anapaswa kuwa na ufaulu wa kuanzia D katika masomo yake ya Fisikia (Physics) , Kemia (Chemistry) na biolojia (Biology), ufaulu wa somo la Hesabu na kiingereza hautafuatiliwa ila utapewa kipaumbele pale itakapotokea nafasi ni chache.
  • Stashaada ya utabibu kwa wanafunzi wanaotaka kujiendeleza (Diploma in Clinical Medicine Upgrading): Mwanafunzi anapaswa kuwa na ufaulu wa kuanzia GPA 2.0 katika ngazi ya cheti ya kozi ya utabibu yaani NTA Level 5, pia anatakiwa kuambatanisha vyeti vyake vyote ya cheti ya NTA level 5, Cheti cha kidato cha Nne (4) na Cheti cha Kuzaliwa.
  • Stashaada ya Sayansi ya Maabara ( Diploma in Medical Laboratory Sciences (Direct Entry)): Mwanafunzi anapaswa kuwa na ufaulu wa kuanzia D katika masomo yake ya Fisikia (Physics) , Kemia (Chemistry) na biolojia (Biology), ufaulu wa somo la Hesabu na kiingereza hautafuatiliwa ila utapewa kipaumbele pale itakapotokea nafasi ni chache.
    Ili kuweza kufanya maombi mtandaoni tafadhali tembelea tovuti yetu: www.bumbulicotc.ac.tz

Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kupiti namba :0779909725, 0767674380, 0684485235 ,0752778535,0676458102

You need advice/you have any query? we are here for you